Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Makueni yaomboleza kifo cha mtoto aliyeuawa na ndovu

  • | Citizen TV
    1,971 views
    Duration: 1:50
    Familia moja katika eneo la Kiboko kaunti ndogo ya Makindu kaunti ya Makueni inaomboleza kifo cha mwana wao wa umri wa miezi tisa aliyeuawawa na ndovu karibu na mji wa Kiboko. Aidha , mama ya mtoto huyo na nduguye walijeruhiwa kwenye shambulio hilo.