Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Mombasa yadai haki baada ya jamaa yao kuchomeka nyumbani

  • | Citizen TV
    3,228 views
    Duration: 4:09
    Familia moja Kaunti ya Mombasa inalilia haki baada ya jamaa yao kupatikana amechomeka ndani ya nyumba mtaani Mikindani. Tukio hilo la tarehe 14 Agosti linadaiwa kuchangiwa na ugomvi kati ya marehemu na mkewe. Inaaarifiwa kuwa mshukiwa alimwagiwa petroli na kuteketezwa ndani ya nyumba. Maafisa wa polisi wanaendelea na uchunguzi, kama anavyoarifu Francis Mtalaki.