Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Mombasa yamsaka jamaa aliyetoweka

  • | Citizen TV
    2,893 views
    Duration: 2:26
    Familia moja mjini Mombasa inamtafuta jamaa yao aliyetoweka wiki mbili zilizopita. John Njiraini hajaonekana tangu tarehe 30 Juni baada ya kutoka kazini mwendo wa saa tatu usiku. Licha ya familia kuripoti katika vituo kadhaa vya polisi, hadi sasa hajapatikana.