Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mwalimu Martina Chepkemoi Ruto yadai haki baada ya mauaji

  • | Citizen TV
    3,181 views
    Duration: 2:36
    Familia ya mwalimu Martina Chepkemoi Ruto inadai haki baada ya kuuawa kwa mwalimu huyo aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Sekondari ya Lalagin na mwili wake kutupwa katika Mto Kimugu, Kaunti ya Kericho