Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mwanafunzi Daktari Hezron Macharia yataka mwili ufanyiwe uchunguzi wa sumu

  • | Citizen TV
    1,407 views
    Duration: 1:53
    Familia ya Hezron Macharia, mwanafunzi Daktari aliyepatikana ameaga katika kidimbwi cha kuogelea kule Villlage Park Hotel Keumbu kaunti ya Kisii sasa yasema haijaridhishwa na matokeo ya upasuaji wakisema wanaenda kufanya ( toxicology tests) katika mahabara ya serikali kukagua iwapo kuna chambe chambe za sumu iliyosabisha kifo cha mwanao mwenye umri wa miaka 22.