8 Jun 2026 10:08 am | Citizen TV 42,775 views Duration: 2:59 Watu wanane wamefariki huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa kwenye ajali ya barabarani eneo la salama kaunti ya Makueni. ajali hiyo ilihusisha magari manne katika eneo la ACK kwenye barabara ya Mombasa kuja hapa Nairobi.