- 50,860 viewsDuration: 28:10Jeshi la Iran sasa linasema linasitisha mashambulizi yake dhidi ya Israel ambayo yamefanyika kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya kusitisha mapigano miezi miwili iliyopita. Wakati huo huo, waziri mkuu wa Isreal Benjamin Netanyahu pia amesema Isreal inasitisha mashambulizi yake dhidi ya Iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw