Skip to main content
Skip to main content

Familia ya ndugu wawili wa Kianjokoma waliouawa miaka 5 iliopita bado inalilia haki

  • | Citizen TV
    5,538 views
    Duration: 2:39
    Miaka mitano baada ya vifo vya ndugu wawili kutoka Kianjokoma katika kaunti ya Embu, familia imetaka kesi iliyoko kortini kuharakishwa. Familia ya Benson Njiiru na Emmanuel Mutura vijana wawili wanaosemekana kufariki baada ya kushikwa na polisi wanasema mashahidi tisa pekee kati ya 25 wametoa taarifa yao tangu kesi hiyo kuanza. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, makumbusho ya vijana hao waliofariki mwaka wa 2021 yalifungua upya vidonda kwa wapendwa wao.