28 Aug 2026 10:25 am | Citizen TV 1,398 views Duration: 1:43 Baraza la wazee wa jamiii ya wasamburu lasema lapiga hatua kubwa katika kushinikiza kulipwa fidia kwa familia ya Oloibon Leaduma wa jamii hiyo, aliyetoweka kwa miaka tisini na tatu iliyopita.