Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Shakahola yataka majibu kuhusu watoto watano waliopotea

  • | Citizen TV
    1,891 views
    Duration: 3:02
    Familia ya mshukiwa mmoja wa mauaji ya Shakahola aliyefariki katika Hospitali ya Makadara inadai hawakufahamishwa kuwa jamaa yao alikuwa akiugua ugonjwa wa ini. Kelvin Sudi Asena alifariki akipokea matibabu. Familia yake inasema imeachwa kwenye njia panda baada ya kukabidhiwa mwili kwa mazishi huko Vihiga. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki, familia hiyo inataka majibu kuhusu watoto watano ambao hadi sasa hawajulikani waliko licha ya kutoa sampuli za DNA miaka mitatu iliyopita.