Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Sharon Otieno yasema haki hatimaye imetendeka

  • | Citizen TV
    11,553 views
    Duration: 3:10
    Safari ya kutafuta haki kwa familia ya marehemu Sharon Otieno hatimaye imekailika baada ya washukiwa watatu kupatikana na hatia ya mauaji. Familia ya Sharon na mawakili wake wakisema hatimaye haki imetenda baada ya safari ndefu ya miaka minane