- 9,074 viewsDuration: 3:12Kwa mara ya kwanza tangu uamuzi wa mahakama kuhusu mauaji ya Sharon Otieno, familia yake imezungumza. Wazazi wa Sharon, Melida Auma na Daglous Otieno, walihudhuria ibada maalum ya kutoa shukrani Jumamosi katika kanisa la SDA la Magare Got, kaunti ya Homa Bay, ambapo walielezea kuridhishwa na uamuzi wa mahakama. Wanasema kuwa wanahisi kufarijika na kutumai kuwa donda lao litapona baada ya kupata haki