Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Sheryl Onderi yataka uchunguzi wa kina kuhusu moto wa Utumishi Gilgil

  • | Citizen TV
    4,811 views
    Duration: 2:13
    Familia ya Sheryl Onderi, mmoja wa wanafunzi 16 waliofariki katika mkasa wa moto katika Utumishi Girls Academy huko Gilgil, imetaka kufanyika kwa uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha mkasa huo.