5 Oct 2026 10:38 am | Citizen TV 556 views Duration: 2:31 Familia moja kutoka kijiji cha Chepkongony, eneobunge la Bureti, inaomba msaada wa kifedha kumwezesha mwana wao Victor Kipkorir, kufanyiwa upasuaji wa moyo.