Skip to main content
Skip to main content

Familia ya washukiwa wa mauaji ya Victoria Nthunya yadai mashtaka ya mauaji yamechochewa na mali

  • | NTV Video
    2,926 views
    Duration: 2:26
    Familia ya washukiwa watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya daktari bingwa wa magonjwa ya akili, Dkt. Victoria Nthunya Mutiso, imekosoa vikali hatua ya kuwafikisha Mahakama Kuu, ikidai mashtaka hayo yamechochewa na nia mbaya na mzozo wa mali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya