- 670 viewsDuration: 3:01Familia moja mjini Nanyuki, Kaunti ya Laikipia, inatafuta haki baada ya kifo cha mwana wao ambaye anadaiwa kuuwawa na maafisa wa polisi. Marehemu Kelvin Macharia anayejulikana kama Mangili alipigwa risasi wiki iliyopita kwa tuhuma za wizi.