Skip to main content
Skip to main content

Familia yalilia kurejeshwa kwa mwili wa jamaa aliyefariki Dubai

  • | Citizen TV
    2,871 views
    Duration: 2:32
    Familia moja katika kijiji cha Ngonyek, Kaunti ya Trans Nzoia, inalilia haki baada ya mwana wao aliyesafiri kwenda Dubai kutafuta ajira kuaga dunia katika mazingira tata na baadaye kuzikwa huko. Familia hiyo sasa inaitaka serikali kuingilia kati ili kusaidia kufukuliwa na kurejeshwa nchini kwa mwili wa jamaa yao ili wamzike kwa kuzingatia mila na desturi zao, kama Collins Shitiabayi anavyotuarifu.