Skip to main content
Skip to main content

Familia yashindwa kumzika ajuza wa miaka 85 kutokana na mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    957 views
    Duration: 2:11
    Familia ya ajuza Josephine Omulo Musina, mwenye umri wa miaka 85 aliyefariki mwezi Juni mwaka huu katika kijiji cha Sira, eneo la Ugunja, Kaunti Ndogo ya Ugunja, inahangaika kupata mahali pa kumzika, kutokana na mzozo wa ardhi.