Skip to main content
Skip to main content

Familia za Laikipia zadai haki kufuatia madai ya dhuluma ya jeshi la Uingereza

  • | Citizen TV
    312 views
    Duration: 1:33
    Baadhi ya familia zilizo dhulumiwa na jeshi la wingereza katika eneo la laikipia sasa hivi wamefanya matembezi ya Amani katikati mwa jiji na kuona petition katika Bunge la kitaifa ambapo wanataka serikali ichukue hatua yakuhakikisha yakuwa watu wote walio dhulumiwa wanapata Haki Aidha wakaazi hao wamelaumu serikali Kwa kile wamekitaja kuwa uzembe wakuwawashugulikia wathiriwa aidha jamii hizo zinataka maafisa wote walio wadhulumu wanafaa kuchukuliwa hatua Kali za kisheria