- 1,687 viewsDuration: 2:55Familia za watu tisa waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani ya Naivasha hapo jana walifika katika makafani ya hospitali ya Naivasha kutambua maiti za wapendwa wao. Familia hizo zinajumuisha ile ya watu watatu wa familia moja