- 3,140 viewsDuration: 2:04Familia nane zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea wiki moja iliyopita katika eneo la Salama, Kaunti ya Makueni, pamoja na marafiki zao, walikusanyika katika eneo la EPZA mjini Athi River, Kaunti ya Machakos, na kuwasha mishumaa kuwaomboleza marehemu