Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa maandamano zadai fidia

  • | Citizen TV
    226 views
    Duration: 1:37
    Kundi la waathiriwa wa maandamano chini ya bendera ya Muungano wa Waathiriwa na Walionusurika dhidi ya machafuko ya serikali wataka kuachiliwa kwa fedha za fidia walizoahidiwa na rais. Wakizungumza katika afisi za Amnesty International hapa jijini Nairobi, kundi hilo liliomba ufafanuzi kutoka kwa serikali kuhusu jopo la ushauri kuhusu mchakato wa kuwapa fidia, wakisema kuwa hawajapata mawasiliano yoyote kuhusu fidia zao.