Skip to main content
Skip to main content

Familia za wafanyakazi waliofariki zailalamikia serikali kuchelewa kwa marupurupu

  • | Citizen TV
    318 views
    Duration: 3:40
    Familia za wafanyakazi wa serikali ambao walifariki zimeilaumu serikali kwa kuitelekeza baada ya kufuatilia marupurupu ya mwisho ya wapendwa wao kwa miaka mingi. Familia hizo zinasema hazina ya kitaifa na bima ya SHA zimeshindwa kuwaelekeza ipasavyo kuhusu fedha hizo ambazo wanapaswa kupata kulingana na sheria. Akiripoti taarifa hiyo, Emily Chebet anasema familia hizo zimemtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kuhakikisha watoto na wajane walioachwa wanapata fedha hizo ili kujikimu kimaisha.