- 1,962 viewsDuration: 3:27Uwashaji baruti na fataki umekuwa maarufu zaidi humu nchini katika miaka ya hivi punde. Ulipuaji wake umekuwa ukitumika kwa wingi ahswa kwa kuukaribisha mwaka mpya kuanzia mjini hadi vijijiji. Hata hivyo, je wajua kuwa kuna taratibu zinazopaswa kufuatwa kabla ya kurusha baruti hata unaposherehekea? Familia moja huko Gitaru Kaunti ya Kiambu inakadiria hasara kubwa baada ya nyumba yao kuteketea baada ya mtoto wao kudaiwa kuwasha fataki ndani ya nyumba