Skip to main content
Skip to main content

Fidia ya Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    815 views
    Duration: 2:12
    Wenyeji wa kaunti ya Garissa wataka tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu KNCHR kujumuisha waathiriwa wa dhulma za jadi kutoka eneo la Kaskazini Mashariki kwenye mpango wa kufidia wakenya ambao haki zao zilikiukwa na serikali.