Skip to main content
Skip to main content

FKF Nairobi Mashariki yasisitiza mafunzo kwa makocha na marefa wa ligi za chini

  • | Citizen TV
    102 views
    Duration: 1:42
    Shirikisho la soka nchini (FKF), tawi la Nairobi Mashariki, limethibitisha upya lengo lake la kujenga uwezo kwa makocha na marefa wa ligi za ngazi ya chini ili kuinua viwango vya soka katika tawi hilo.