Skip to main content
Skip to main content

Fujo na vurumai Machakos | Wanakandarasi waongoza malalamiko

  • | Citizen TV
    12,575 views
    Duration: 2:50
    Kwa siku ya pili sasa, shughuli za uchukuzi na biashara mjini Machakos zimetatizika, baada ya vurugu kuzuka kati ya wanakandarasi na maafisa wa usalama. Vurugu hilo lilizuka pale wachuuzi hao walipoandamana na kutishia kuingia kwenye ofisi ya gavana wa kaunti hiyo kudai malipo yao. Wakandarasi hao wakiishtumu kaunti ya Machakos kwa kukosa kuwalipa kwa takriban miaka miwili. Gavana Wavinya Ndeti amekanusha madai kwamba kaunti imekataa kuwalipa, akisema baadhi yao hawakukamilisha kandarasi zao.