Skip to main content
Skip to main content

Fujo Zazuka Bungeni Narok Wawakilishi Wadi Wakizabana Makofi

  • | Citizen TV
    172 views
    Baadhi ya wawakilishi wadi katika bunge la Narok walizabana makofi na kurushiana makonde walipotofautiana wakati wa mjadala wa mswada wa kumng'atua waziri wa fedha wa kaunti hiyo David Ole Muntet.