- 2,406 viewsDuration: 3:32Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, sasa anasema shughuli ya kwanza afisini ikiwa atafaulu Kuwa Rais mwaka ujao, itakuwa ni kusafisha Idara ya polisi na Kuwaondoa wale anaowataja kuwa maafisa wahuni. Akizungumza huko Nyandarua alipohudhuria hafla ya mazishi ya watu wawili waliofariki wakati wa Uchaguzi mdogo wa Olkalou, Gachagua pia ametishia kuwafuta kazi machifu, anaodai wametelekeza majukumu yao