- 2,068 viewsDuration: 2:25Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendelea kupigia debe mpango wake wa kuwahusisha wakazi katika kulinda eneo la Mlima Kenya iwapo serikali haitawahakikishia usalama wa kutosha. Gachagua, aliyekutana na wanasiasa wa Mlima Kenya nyumbani kwake Wamunyoro, pia ameendelea kusifia umaarufu wa chama chake, akisema ndicho tiketi kwa wanaotaka kuwania viti vya uchaguzi katika eneo hilo mwaka ujao. Melita Oletenges anaripoti.