- 7,780 viewsDuration: 1:54Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amezua tetesi kuhusu njama ya kuiba kura katika uchaguzi wa mwaka wa 2027. Gachagua huku akizungumza na wanahabari ametoa madai kuwa shughuli ya utoaji zabuni kwa kampuni itakayichapisha karatasi za kura imeendeshwa kwa njia ambazo si halali huku akitilia shaka kamapuni ambayo anakisia imepewa zabuni hiyo.