- 4,074 viewsDuration: 3:07Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameishutumu serikali kwa kuendeleza visa vya utekaji nyara wa wakenya haswa wale wanaoshiriki maandamano. Gachagua aliyezungumza nyumbani kwake Wamunyoro kaunti ya Nyeri akitaja hatua ya serikali kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano kama unafiki. Naibu huyu wa rais wa zamani pia amekosoa mipango mipya ya ukaguzi wa magari na NTSA