- 2,683 viewsDuration: 2:39Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anasema ndiye bora zaidi kwenye muungano wa upinzani atakayeweza kumshinda Rais William Ruto kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka ujao. Akitoa ripoti ya mikutano yake aliyofanya nyumbani kwake Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, Gachagua amejipigia debe akisema Wakenya waliomtembelea walimpa jukumu la kuhakikisha serikali ya Kenya Kwanza inawajibika na kuongoza safari ya kumuondoa Rais Ruto nyumbani. Gatete Njoroge na mengi zaidi.