- 5,032 viewsDuration: 2:13Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioidhinisha kubanduliwa kwake afisini. Kupitia mawakili wake, Gachagua anataka uamuzi wa majaji watatu wa Mahakama Kuu ubatilishwe, pamoja na kuondolewa kwa kufurushwa kwake afisini. Emmanuel Too anaarifu zaidi.