- 2,226 viewsDuration: 1:54Aliyekuwa Naibu Rais na kinara wa DCP Rigathi Gachagua ametoa ilani ya rufaa ya uamuzi wa mahakama kuu, ulioafiki uamuzi wa kubanduliwa kwake afisini. Kwenye ilani hiyo, Gachagua amesema kuwa vipengee vilivyopata kuwa haki yake ya kikatiba ilikiukwa vilitosha kubatilisha kutimuliwa kwake ofisini.Gachagua hata hivyo alikubaliana na maamuzi ya kufidiwa shilingi milioni 50.