Skip to main content
Skip to main content

Gachagua akata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu kuondolewa mamlakani

  • | Citizen TV
    9,925 views
    Duration: 1:05
    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliothibitisha kuondolewa kwake mamlakani kupitia mchakato wa kumwondoa kwa kura ya kutokuwa na imani. Gachagua anasema Mahakama Kuu ilikosea kisheria kwa kutambua kuwa baadhi ya haki zake za kikatiba zilikiukwa, lakini ikaamua kuwa uamuzi wa Seneti wa kumwondoa mamlakani hauwezi kubatilishwa.