- 7,861 viewsDuration: 2:37Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, amemjibu Rais William Ruto akisema anawapotosha Wakenya kuhusu mchango wake katika ushindi wa Mlima Kenya kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Akizungumza Nyeri, Gachagua amesema alichangia pakubwa kuingia kwa Rais Ruto madarakani. Aidha, ameendeleza madai kuwa serikali inanuia kughushi matokeo ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou.