- 6,057 viewsDuration: 3:19Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amepuuza kongamano linaoendelea la Africa Forward akitilia shaka nia ya ziara wa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Kenya. Gachagua anadai kuwa safari ya Rais Macron inahusiana na mradi ujenzi wa barabara kuu ya Rironi–Mau Summit, ambao kwa sasa unatekelezwa na kampuni mbili kutoka China.