Skip to main content
Skip to main content

Gachagua apuuzilia mbali mazungumzo ya ruwaza ya 2060

  • | Citizen TV
    2,760 views
    Duration: 2:20
    Naye Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali mazungumzo ya kitaifa kuhusu ruwaza ya mwaka wa 2060, akisema Kenya ina changamoto za kutosha zinazohitaji kushughulikiwa. Gachagua, aliyekuwa kaunti ya Nyandarua leo, pia amedai kuwa Rais Ruto ana njama ya kubadili Katiba ya sasa. Kama Melita Ole Tenges anavyotuarifu.