- 5,742 viewsDuration: 2:45Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amedai kuwa kuna njama ya Serikali kuvuruga maandamano ya kumbukumbu ya juni 25. Gachagua kwenye kikao na wanahabari amewataja kwa majina baadhi ya watu anaosema wanatumika kupanga kuvuruga mipango ya maandamano. Sasa naibu huyo wa rais wa zamani amewataka Gen Z kutoshiriki kumbukumbu zozote za Juni 25,