Skip to main content
Skip to main content

Gachagua na Sifuna wagusia ushirikiano wa upinzani dhidi ya Ruto

  • | Citizen TV
    17,255 views
    Duration: 3:18
    Viongozi wa upinzani Rigathi Gachagua na Edwin Sifuna wamegusia uwezekano wa kufanya kazi pamoja katika azma yao ya kumuondoa Rais William Ruto mamlakani. Akizungumza huko Nyeri, Sifuna ambaye ni kiongozi wa mrengo wa Linda Mwananchi amesema kuwa upinzani hauna budi ila kuweka tofauti zao kando, kuungana na kuwahimiza Wakenya kuwaunga mkono ili kuiondoa serikali ya Kenya Kwanza madarakani.