Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Nitaendelea kufichua sakata zinazopangwa na serikali

  • | Citizen TV
    19,052 views
    Duration: 2:54
    Kinara wa Chama Cha DCP Rigathi Gachagua anasema ataendelea kufichua Sakata zinazopangwa na serikali, akisisitiza ndio njia pekee itakayowahakikisha wakenya huduma Kutoka kwa serikali. Akizumgumza alipozuru Kaunti za Laikipia na Nyeri Jumamosi, Gachagua amewataka wakenya kumuunga mkono kwenye safari ya kuunda serikali mpya.