Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Serikali inifunge kama ina ushahidi

  • | Citizen TV
    3,193 views
    Duration: 2:58
    Kinara wa chama Cha DCP Rigathi Gachagua Sasa anaitaka Serikali kumkamata, iwapo kweli Ina ushahidi kuwa analifufua kundi lililoharamishwa la Mungiki eneo la mlima Kenya. Huku akimfokea Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen Kwa tishio zisizokoma za kumkamata, Gachagua aliyezuru kaunti ya Embu Jumamosi amedai Serikali inafufua swala la Mungiki, kama njia ya kumdhibiti mlimani