Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais

  • | Citizen TV
    3,395 views
    Duration: 2:50
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amesisitiza kuwa muungano wa upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza alipohudhuria ibada mjini Washington, Marekani, Gachagua amesema hakuna haraka ya kumchagua mgombea wao wa urais, akidai kufanya hivyo mapema kutampa Rais William Ruto nafasi ya kuvuruga mipango yao. Emmanuel Too ana taarifa zaidi.