Skip to main content
Skip to main content

Gavana Abdulswamad akosoa viongozi wa upinzani kwa madai ya kugawa watu

  • | Citizen TV
    755 views
    Duration: 1:53
    Naibu kinara wa ODM Abdulswamad Sharif Nassir ametaka viongozi chamani humo kudumisha umoja akisema mazungumzo kati ya ODM na UDA yanatazamiwa kuanza na ni sharti chama hicho kuzungumza kwa sauti moja.