14 May 2026 11:03 am | Citizen TV 2,410 views Duration: 2:05 Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru autaka ukanda wa Mlima Kenya kumuunga mkono tena Rais William Ruto, asema kuwa eneo hilo linafaa kuheshimu ahadi ya kumunga rais Ruto mkono kwa mihula miwili.