- 4,198 viewsDuration: 2:52Gavana wa isiolo abdi guyo sasa anasema kuwa ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma haina ushahidi wowote wa kuagiza akamatwe na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya utekaji nyara na wizi wa kimabavu. Gavana guyo anasema hakuwa katika hoteli ya outbark iliyoko maanzoni kama inavyodaiwa huku akimtaka mkurugenzi w amashtaka ya umma kutoa kanda ya cctv anayodai ilimnasa katika hoteli hiyo.