Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Busia Paul Otuoma aahidi kukomesha uhuni na ujambazi wa kisiasa

  • | Citizen TV
    218 views
    Duration: 1:40
    Gavana wa Busia Paul Otuoma aapa kukomesha visa vya uhuni na ujambazi wa kisiasa katika kaunti hiyo. Otuoma asema visa vya wahuni kuvuruga amani vyatatiza usalama na kusababisha machafukokatika kaunti hiyo ya mpakani.