- 2,373 viewsDuration: 1:13Gavana wa Garissa amekashifu vikali mauaji ya aden mohammed hassan, aliyeuliwa jana akitaja kitendo hicho cha afisa wa dci kumpiga risasi kijana huyo kama unyama. Akiungana na familia ya mwendazake katika kudai haki, gavana ameeleza kusikitishwa kwake na mfululizo wa visa hivi ambapo raia wasio na hatia wanapoteza maisha mikononi mwa wale wanaopaswa kuwalinda