Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa aunga mkono uwekezaji wa kiwanda cha Dangote nchini Kenya

  • | Citizen TV
    479 views
    Duration: 1:07
    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amekaribisha uwekezaji wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote nchini Kenya, akisema mradi huo unatoa fursa muhimu za kiuchumi kwa maelfu ya Wakenya kupitia kubuni nafasi za kazi, maendeleo ya biashara na mahitaji ya wataalamu wenye ujuzi.